Saturday, 6 August 2011

Taswira mwanana za usiku

 Mji wa Moshi
Uwanja wa Taifa

unapokutana na raha kama hii usiache kutuletea...

sakata la kupata Taswira nzuri ya msanii wa Marekani Jay-Z alipozuru Mwananyamala, Dar es salaam

engo maridhawa inayofanya Taswira iongee yenyewe

Uwanja wa Taifa Usiku

taswira ya insha michezoni





faida ya kufremu taswira hupeleka jicho haraka panapotakiwa kuonwa



Taswira ya machweo yenye uhai

Hapa muogeleaji angekosekana tu, taswira ingekosa uhai, pamoja na uzuri wake

Taswira iliyokataliwa Uingereza

Taswira hii ya kuhamasisha Ulinzi shirikishi nchini Uingereza ilikataliwa na mamlaka husika katika kitongoji cha Hampshire. Unaweza kusema ni kwa nini ilikataliwa?

pacha moja la Benki Kuu

insha ya taswira ya mama na mtoto...




Coco Beach, Dar es salaam, siku ya sikukuu

Dar es salaam ya kijani

Boti la mwisho toka Zanzibar

Taswira za mnara wa kuongozea meli Magogoni, Dar es salaam




maana ya uhai wa taswira

Taswira hii ingekosa uhai kama si mtu anayening'nia kule juu..

Taswira ya mdau ya machweo ya jua

Asante mdau kwa taswira mwanana ya machweo ya jua Dar es salaam. Ungepata na kajingalawa ama boti hivi hapo katikati majini ingekuwa mwake kwani kungekuwa na uhai zaidi. hata hivyo umejitahidi

eleza uzuri na ubaya wa picha hizi za pamoja

 Simba SC
Mtibwa Sugar FC

Bila flashi

Picha iliyopigwa bila flashi inavutia sana, hasa ikiwa muda wenyewe ni saa moja kasorobo hivi, wakati mwanga wa jua haujafa wote.

Bounce flash

 Zamaradi
 Gea
Dina

Uzuri wa bounce flash, yaani kuelekeza flashi juu wakati unapiga portrait, kuna uzuri na ubaya wake. Uzuri ni kwamba aliyepozi hawi na vivuli vya kuchusha chini ya pua, shindo na midomo ama nyuma yake. Ubaya ni kwamba kama dari ni la rangi tofauti na nyeupe matokeo ni kama hizo picha za zamaradi na Gea. Yaani unakosa rangi halisi kama ya Dina

utundu

sunset soccer

Beach hop

hii ni mojawapo ya picha zangu zilizopendwa sana 

Friday, 5 August 2011

Headlines of good old days

Swala ya Iddi

Naomba caption  tafadhali...

mjadala

leo sina cha kusema ila naomba wadau muijadili picha hii kwa kadri mtavyoweza na kupenda

Wednesday, 3 December 2008

taswira mwanana ya familia

obama na familia yake wananikosha sana wanapokuwa kwenye pozi. na hii black and white ndio imeleta raha kuliko. wadau mnasemaje?

taswira ya peramiho

kanisa la peramiho