Huu ni uwanja wa taswira. Mdau ambaye ni mpenzi wa picha unakaribishwa kuchangia picha, maoni, maswali, darasa, ukosoaji wa kujenga na kila jambo linalohusu fani hii. Endapo una lolote la kutuma lete kupitia issamichuzi@gmail.com nawe utahudumiwa. Tafadhali lete picha uliyopiga mwenyewe...
Thursday, 11 August 2011
FM original
Ankal akiwa na wana FM Wajelajela ya mwanzo kabla ya kusambaratika na kuwa FM Academia
No comments:
Post a Comment