Huu ni uwanja wa taswira. Mdau ambaye ni mpenzi wa picha unakaribishwa kuchangia picha, maoni, maswali, darasa, ukosoaji wa kujenga na kila jambo linalohusu fani hii. Endapo una lolote la kutuma lete kupitia issamichuzi@gmail.com nawe utahudumiwa. Tafadhali lete picha uliyopiga mwenyewe...
Thursday, 11 August 2011
Kituko cha Makambako
Watoto wakiwa wamemzingira mpiga picha Adam Gire baada ya kushuka kwenye helikopta wakati wa msafara wa kampeni huko Makambako wakimdhania ni mgombeaurais wa CCM, JK. Hapo wote wanaimba "Kikwete....Kikwete...Kikwete...."
No comments:
Post a Comment