Huu ni uwanja wa taswira. Mdau ambaye ni mpenzi wa picha unakaribishwa kuchangia picha, maoni, maswali, darasa, ukosoaji wa kujenga na kila jambo linalohusu fani hii. Endapo una lolote la kutuma lete kupitia issamichuzi@gmail.com nawe utahudumiwa. Tafadhali lete picha uliyopiga mwenyewe...
Monday, 8 August 2011
dua
Sio kawaida kuona waamuzi wakiomba dua kabla ya mchezo kama inavyokuwa kwa timu shindani. Lakini kama mpambano ni wa watani wa jadi, Simba na Yanga, kuomba dua kwa waamuzi si ajabu sana.
No comments:
Post a Comment