Zamaradi
Gea
Dina
Uzuri wa bounce flash, yaani kuelekeza flashi juu wakati unapiga portrait, kuna uzuri na ubaya wake. Uzuri ni kwamba aliyepozi hawi na vivuli vya kuchusha chini ya pua, shindo na midomo ama nyuma yake. Ubaya ni kwamba kama dari ni la rangi tofauti na nyeupe matokeo ni kama hizo picha za zamaradi na Gea. Yaani unakosa rangi halisi kama ya Dina
No comments:
Post a Comment