Huu ni uwanja wa taswira. Mdau ambaye ni mpenzi wa picha unakaribishwa kuchangia picha, maoni, maswali, darasa, ukosoaji wa kujenga na kila jambo linalohusu fani hii. Endapo una lolote la kutuma lete kupitia issamichuzi@gmail.com nawe utahudumiwa. Tafadhali lete picha uliyopiga mwenyewe...
Thursday, 11 August 2011
Hakikisha kila mhusika wa tukio yumo katika taswira
Timing yako inapokuwa nzuri huna haja ya caption, taswira moja hueleza maneno 1000
No comments:
Post a Comment