Huu ni uwanja wa taswira. Mdau ambaye ni mpenzi wa picha unakaribishwa kuchangia picha, maoni, maswali, darasa, ukosoaji wa kujenga na kila jambo linalohusu fani hii. Endapo una lolote la kutuma lete kupitia issamichuzi@gmail.com nawe utahudumiwa. Tafadhali lete picha uliyopiga mwenyewe...
Saturday, 6 August 2011
Taswira ya mdau ya machweo ya jua
Asante mdau kwa taswira mwanana ya machweo ya jua Dar es salaam. Ungepata na kajingalawa ama boti hivi hapo katikati majini ingekuwa mwake kwani kungekuwa na uhai zaidi. hata hivyo umejitahidi
No comments:
Post a Comment