Huu ni uwanja wa taswira. Mdau ambaye ni mpenzi wa picha unakaribishwa kuchangia picha, maoni, maswali, darasa, ukosoaji wa kujenga na kila jambo linalohusu fani hii. Endapo una lolote la kutuma lete kupitia issamichuzi@gmail.com nawe utahudumiwa. Tafadhali lete picha uliyopiga mwenyewe...
Sunday, 7 August 2011
Taswira toka sillicon valley, kitovu cha teknolojia, Palo Alto, California
Ankal akiwa makao makuu ya Google Sillicon valley. Yafuatayo ni baadhi ya majengo ya makao makuu ya magwiji teknolojia
No comments:
Post a Comment