Huu ni uwanja wa taswira. Mdau ambaye ni mpenzi wa picha unakaribishwa kuchangia picha, maoni, maswali, darasa, ukosoaji wa kujenga na kila jambo linalohusu fani hii. Endapo una lolote la kutuma lete kupitia issamichuzi@gmail.com nawe utahudumiwa. Tafadhali lete picha uliyopiga mwenyewe...
Thursday, 11 August 2011
faida ya kutumia 'bounce flash'
Vivuli vinavyokera hutoweka kabisa na kila kitu kinakuwa katika rangi yake asilia
No comments:
Post a Comment