Huu ni uwanja wa taswira. Mdau ambaye ni mpenzi wa picha unakaribishwa kuchangia picha, maoni, maswali, darasa, ukosoaji wa kujenga na kila jambo linalohusu fani hii. Endapo una lolote la kutuma lete kupitia issamichuzi@gmail.com nawe utahudumiwa. Tafadhali lete picha uliyopiga mwenyewe...
Wednesday, 10 August 2011
aibu ya Taifa
Rais wa Sudan Jaffar Nimery akikagua Taifa Stars iliyoingia uwanjani vifua wazi kwa kukosa jezi. Mwalimu Nyerere, ambaye pia alihudhuria mechi hii ya kirafiki na Sudan, toka siku hii hajakanyaga tena uwanjani kuangalia mpira
No comments:
Post a Comment