Huu ni uwanja wa taswira. Mdau ambaye ni mpenzi wa picha unakaribishwa kuchangia picha, maoni, maswali, darasa, ukosoaji wa kujenga na kila jambo linalohusu fani hii. Endapo una lolote la kutuma lete kupitia issamichuzi@gmail.com nawe utahudumiwa. Tafadhali lete picha uliyopiga mwenyewe...
Saturday, 6 August 2011
siku mwili wa mwalimu uliporejeshwa toka Uingereza
Ankal aliipata taswira hii kutoka daraja la Manzese jijini Dar es salaam. alipatya kazi kubwa kufikiria na mapema engo gani nzuri itayoeleza siku hii kwa kuchanganya mambo yote muhimu ikiwa ni pamoja na umati wa watu, barabara, usafiri uliotumika pamoja na jeneza. Baada ya kupigwa na jua kwa masaa kama manne hivi Ankal alizawadiwa na taswira hii. Fundisho hapa ni kuwaza na mapema aina ya picha inayofaa kabla.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Moh'd,
Vipi kuhusu clearence.
Post a Comment