Huu ni uwanja wa taswira. Mdau ambaye ni mpenzi wa picha unakaribishwa kuchangia picha, maoni, maswali, darasa, ukosoaji wa kujenga na kila jambo linalohusu fani hii. Endapo una lolote la kutuma lete kupitia issamichuzi@gmail.com nawe utahudumiwa. Tafadhali lete picha uliyopiga mwenyewe...
Thursday, 11 August 2011
Namna ya kudaka taswira ya mwendo
Ukishalenga kamera yako kwa unayetaka kuwapiga, fuatana nao na fyatua wanapokuwa usawa wako ila usiache kuzunguka na kamera yako kuwafuata waelekeako ili kupata msisitizo wa mwendo kasi kama hivi
No comments:
Post a Comment