Wednesday, 17 August 2011

Tuesday, 16 August 2011

mtaji wa masikini...


wazee wetu wa Afrika Mashariki


JK na wadau wakitembelea sehemu zilizoathirika na mafuriko jimboni chalinze mwaka 2004


JK na Mbowe

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akipongezwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe baada ya kupishwa kuwa Rais wa awamu ya nne, huku Mzee Reginald Mengi askisubiri zamu yake

Viongozi walihudhuria kuapishwa kwa JK mwaka 2005


Kinadada wa Uswazi wakati wa ngoma ya nyika - Reed Dance


Mruko ufukweni Zanzibar


mechi ya Simba SC na Cosmopolitan

Kipa wa Simba Semainda akidaka mpira mbele ya mshambuliaji hatari wa Cosmopolitan Jumanne Masimenti huku mlinzi wake Omari Choggo Mluya  "Choggo Chemba" akimlinda uwanja wa Ilala (siku hizi Karume)

Kikosi cha Coastal Union ya Tanga enzi hizo


mganda


viongozi wakionesh mfano katika kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa


ufukweni Dar es salaam


barabara kuu kuelekea makao makuu Dodoma





Ocean Road hospital, Dar es salaam


mfalme wa Reggae Tanzania, Jah Kimbute


marikiti ya mwanakwerekwe, zanzibar





Thursday, 11 August 2011

Mwalimu, Samora Machel, Graca Machel na Mama Maria

Mwalimu akiwa na Rais wa Msumbiji Samora Machel pamoja na Graca Machel na Mama Maria Nyerere

Ankal akiwa loliondo wakti wa sakata la Loliondo gate

Hapa ni Loliondo Guest House alimofikia Ankal wakati wa kufuatilia sakata la Loliondo gate miaka ya 90

Simba wa vita uwanjani

Hayati Mzee Rashidi Mfaume Kawawa akichezesha mechi ya wabunge na mawaziri uwanja wa Ilala (siku hizi Kumbukumbu ya Amani Abeid Karume)