Monday 8 August 2011

taswira toka kwa mdau william kallaghe


Scintillating view of the garden
A view of the beach at La Gemma in Zanzibar just before sunset
The Jetty at La Gemma in Zanzibar just before sunset
Mdau Willy asante sana kwa kuitikia mwito wa kuendeleza libeneke la TASWIRA ZETU. Kwa kweli inatia moyo kuona kumbe wazee pamoja na kuwa bize ile mbaya hapo NBC kumbe ukipata upenyo unaendeleza libeneke kwa kwenda mbele. Asante sana mdau Willy na naomba wengine wenye hobby hii waige mfano ili Libeneke lizidi kunoga.
-Michuzi

No comments: