Sunday 7 August 2011

libeneke oyeee!!


mkuu libeneke oyeee, nililimiss sana hili libeneke na sasa nimefurahi limekuja upyaa! Hiyo picha nilipiga mwezi uliopita katika mji wa Jinan nchini Uchina, katika ziwa linaloitwa Daming. Pia katiaka libeneke letu lingine la wabongo, tuna photographers corner na tungependa wadau kama nyie wenye ujuzi katika mambo hayo angalau mkatukosoa na hivyo kutufanya na sisis tuwe na jicho la picha.
Asante sana na nakaribisha wadau 
wote katika jamvi letu pia.
                                                            gonga link hizi hapa chini
Karibuni sana 
 
 
TANZANIAN FORUM ON SKYSCRAPERCITY


 

No comments: