Thursday 11 August 2011

Ankal akiwa loliondo wakti wa sakata la Loliondo gate

Hapa ni Loliondo Guest House alimofikia Ankal wakati wa kufuatilia sakata la Loliondo gate miaka ya 90

1 comment:

Mlevi said...

Michuzi kumbe na we bahili hivi? Yaani unalal kwenye GEST ya shing. ELFU TATU!

Khaah!