Sunday 7 August 2011

Taswira toka kwa mdau J. Ndekia

Machinga Complex Barabara ya Kawawa jijini Dar es salaam
Uwanja wa Taifa Usiku
Shabiki wa Yanga
Kupatwa kwa mwezi


Mkuu wa LIBENEKE za kazi,

Naomba nikurushie baadhi ya picha nilipiga uweke kwenye libeneke la taswira. Kupiga picha ni hobby yangu na napendelea camara ya Canon.

My Dad, wewe na Prof. Pete Souza (Obama Photographer) www.flickr.com/whitehouse munani inspire ku take photo. Pia na dream nitakuwa na studio ya picha if god bless japo mi ni mtalaam wa IT. Asante pia nakutakia mfungo njema.

Poa mkuu niishie hapa 
I hope utazipost.



                                                                          Wasalaam,

J Ndekia


2 comments:

MICHUZI BLOG said...

Kaka J Ndekia,

asante sana kwa mchango wako na maneno matamu. Kwa kweli wewe hujui tu, ila mtu mwenye passion kama wewe huwezi kukosea ikiwa utaambua kuifanya fani hii sehemu ya maisha yako. Japo unafanya IT lakini jicho la picha unalo na kwa mazoezi ya mara kwa mara utafika mbali pengine kulioko sisi uliotutaja hapo. Sky's the limit kwa mtu kama wewe.

J Ndekia said...

Asante Ankal.

Asante kwa posts, pia nikipiga picha za kibunifu nitakutumia ili tu share na wana taswira, Libeneke oyeee....!