Thursday 11 August 2011

Kituko cha Makambako

Watoto wakiwa wamemzingira mpiga picha Adam Gire baada ya kushuka kwenye helikopta wakati wa msafara wa kampeni huko Makambako wakimdhania ni mgombeaurais  wa CCM,  JK. Hapo wote wanaimba "Kikwete....Kikwete...Kikwete...."

No comments: