Monday 8 August 2011

kinyozi hajinyoi

Mpiga picha wa Guardian Limited Khalfan Saidi akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dar es salaam akisubiri ujio wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban ki Moon. Kuwahi mapema na kusubiri kwa muda mrefu ni mojawapo ya majukumu ambayo mpiga picha wa habari anakumbana nayo kila kukicha.

No comments: