Wednesday 8 October 2008

vunja mbavu, usiogope

mara moja moja si vibaya ukivuja watu mbavu kwa hali halisi. hapa twanga pepeta wakirejea toka oman....

1 comment:

Anonymous said...

Mhhhh huo mkono wa mtu hapo ninini

waliwaonea wivu walivyoenda huko?

yaani wanarudi na gari linachemsa....kweli uchawi hauvuki bahari...waliwashindwa huko walikokwenda wakawasubiri nyumbani ...hahahahahahahahahah