taswira za namna hii zinahitaji taimingi tu, sio lazima uwe na boooonge la kamera wala nini. pia unatakiwa uwe unajua kinafuata nini na kukifanyia majaribio kabla ya kushuti. kama ni onesho si vibaya ukafika wakati wa tizi ili ujue kutakuwa na nini. la ukishindwa wakati muafaka angalia na panga muda wa kofotoa. zingine unaweza kuwaomba jamaa waruke nawe ushuti kwa wakati wako. aghalabu inakubidi ushiti zaidi ya picha tano kupata inayofaa
Huu ni uwanja wa taswira. Mdau ambaye ni mpenzi wa picha unakaribishwa kuchangia picha, maoni, maswali, darasa, ukosoaji wa kujenga na kila jambo linalohusu fani hii. Endapo una lolote la kutuma lete kupitia issamichuzi@gmail.com nawe utahudumiwa. Tafadhali lete picha uliyopiga mwenyewe...
Monday, 13 October 2008
taswira za miruko
taswira za namna hii zinahitaji taimingi tu, sio lazima uwe na boooonge la kamera wala nini. pia unatakiwa uwe unajua kinafuata nini na kukifanyia majaribio kabla ya kushuti. kama ni onesho si vibaya ukafika wakati wa tizi ili ujue kutakuwa na nini. la ukishindwa wakati muafaka angalia na panga muda wa kofotoa. zingine unaweza kuwaomba jamaa waruke nawe ushuti kwa wakati wako. aghalabu inakubidi ushiti zaidi ya picha tano kupata inayofaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Hio yakuruka toka baharini nakupiga mpira wala siiamini kabisa, anayeweza kuruka kama hivyo kutoka majini ni mkizi lakini binadamu noooo
mbona mie nikitaimu huwa napata mchirizi wa motion. je yenye michirizi ya motion ni nzuri au la?? juu kwa jicho langu nadhani michirizi ni kiboko. nikosoe
Post a Comment