Huu ni uwanja wa taswira. Mdau ambaye ni mpenzi wa picha unakaribishwa kuchangia picha, maoni, maswali, darasa, ukosoaji wa kujenga na kila jambo linalohusu fani hii. Endapo una lolote la kutuma lete kupitia issamichuzi@gmail.com nawe utahudumiwa. Tafadhali lete picha uliyopiga mwenyewe...
Wednesday, 8 October 2008
taswira za machweo mwanana
picha hii ya peter bennet wa Zenji inaonesha ni jinsi gani taswira za machweo zinavyopendeza unapoishirikisha na uhai
No comments:
Post a Comment