Huu ni uwanja wa taswira. Mdau ambaye ni mpenzi wa picha unakaribishwa kuchangia picha, maoni, maswali, darasa, ukosoaji wa kujenga na kila jambo linalohusu fani hii. Endapo una lolote la kutuma lete kupitia issamichuzi@gmail.com nawe utahudumiwa. Tafadhali lete picha uliyopiga mwenyewe...
Wednesday, 8 October 2008
taswira za maajabu
huyu kuku analea vifaranga vya bata sehemu za kinondoni, dar
1 comment:
Anonymous
said...
Uncle michu, Hicho chekundu kwenye hiyo picha ni damu ama ni kitu gani! Nimeshindwa kukipata
1 comment:
Uncle michu, Hicho chekundu kwenye hiyo picha ni damu ama ni kitu gani! Nimeshindwa kukipata
Post a Comment