Huu ni uwanja wa taswira. Mdau ambaye ni mpenzi wa picha unakaribishwa kuchangia picha, maoni, maswali, darasa, ukosoaji wa kujenga na kila jambo linalohusu fani hii. Endapo una lolote la kutuma lete kupitia issamichuzi@gmail.com nawe utahudumiwa. Tafadhali lete picha uliyopiga mwenyewe...
Wednesday, 8 October 2008
mbega
wanyama huleta taswira nzuri sana, hasa unapowafuma kwa karibu kama nilivyobahatika mimi nilipotembelea pori la jozani huko unguja
2 comments:
Anonymous
said...
Nice shot. Mkuu wa wilaya ingependeze kama ungetoa ushauri pia ni jinsi gani ya kupiga shot kama hiyo, yaani mahali penye jua na kivuli wakati mmoja.
2 comments:
Nice shot. Mkuu wa wilaya ingependeze kama ungetoa ushauri pia ni jinsi gani ya kupiga shot kama hiyo, yaani mahali penye jua na kivuli wakati mmoja.
Imeetulia sana. Kwa haraka unaweza kudhani ni kinyago.
kimox.blogspot.com
Post a Comment